Wednesday, August 22, 2012

HATIMAYE KWENYE AJIRA YA KUMFANYA AISHI TOWN!!!


Kama unakumbuka tchache zilizopita tulipost habari kuhusu kijana mchakalikaji ambye ni Jocktan Maluli. hivi sasa jamaa yupo rasmi kwa Mustapha Hassanali, na hii ni moja ya kazi zake:

Wednesday, August 8, 2012

VIJANA WACHAKALIKAJI: JOCKTAN MALULI

Anaitwa Joktan Maluli, bonge la graphic designer, painter, cartoonist, model na muigizaji mwenye malengo.
afta graduating kutoka UDOM soon na Bachelor ya Fine Arts and Design, jamaa ameeshaanza kupiga mzigo sehemu mbalimbali akiwa na kampuni yake changa ya Crop Mark.
hii ni  mifano ya design zake...!

ALICHOTWEET MH. ZITTO KUHUSU MAZINGIRA YA KAZI ZA WASANII!


Saturday, August 4, 2012

ROMA APATA AJALI!!!

Roma akiwa amesimama mbele ya gari alilopata nalo ajali. SmashBronzo inampa pole bro kwa ajali aliyopata, ingawa alisema ataenda hospitali kwa ajili ya body check up

Wednesday, August 1, 2012

SOLO THANG AACHIAA I AM TRAVELLAH THE ALBAM!

kichwa kinachofanya muziki wa kuumiza kichwkutoka pande za ughaibuni, Solo Thang aka Travellah, ameachia albamu yake ya I AM TRAVELLAH VOL.1, you can get ya copy now online!!!