Baadhi
ya Wakuu wa Mikoa wakinukuu maelekezo ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
wakati alipofungua Mafunzo ya Kujenga Uwezo kwa Wakuu wa Wilaya ,
Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Mikoa kwenye ukumbi wa Hoteli ya
New Dodoma mjini Dodoma Juni 24,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua Mafunzo ya Kujenga Uwezo kwa Wakuu wa Wilaya , Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Mikoa kwenye ukumbi wa Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma Juni 24,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu MizengoPinda akihutubia wakati alipofungua Mafunzo ya Kujenga Uwezo kwa Wakuu wa Wilaya , Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Mikoa kwenye ukumbi wa Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma Juni 24,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na wabunge, Bungeni Mjini Dodoma 24,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na wabunge, Bungeni Mjini Dodoma 24,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na wabunge, Bungeni Mjini Dodoma 24,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment